Kama hukuwa na ‘American dream’ ukiwa mtoi, wewe ni wale watu wa group of schools. Sio kama cuzo wangu ride or die Brian AKA Brayo.
Na msimjudge na ma Brayo wengine. He’s different. Tunamuitanga chaser vile yeye huchase big dreams. Ni wale watu wa grass to grace, kujituma daily.
Anyway, my ride or die Brayo alibag dream scholarship kusomea I.T. US. Mazee sema shangwe! Family yote ilikuwa inafeel ni kama Brayo amekuwa Obama.
Shida ilikuwa tu doh. Brayo alikuwa anadai chumz za visa, medical clearance na kurelocate just in case.
Bahati mbaya mambo ilikuwa tight on my side, singecome through. We needed a fast solution juu hakuna venye tungekubali Brayo ahate his golden chance.
Nikakumbuka KCB mobile loan vile ilinisort time ndae ilikua imeleta nuks. Nilikuwa sure, hii loan ingesort Brayo vibaya sana.
Na KCB Mobile Loan unaget doh instantly kwa phone and na wewe ndio unadecide when to pay back the loan. Kama ni 1 Day, 7 Days, 30 Day ama up to 1 Year, KCB mobile loan inakupatia the flexibility to choose, juu wewe ndio kusema!
Brayo alichagua 60-day plan na so far so good. Ka-loan kalicome through na amekuwa akisort vitu polepole as the big day draws near.
In a month’s time Brayo atakuwa akicatch flights akiuliza mwalimu wa math hapa ni wapi. Dreams zake zinacome true vile inafaa!
Don’t go through life alone wadau, KCB mobile loan iko flexible sana na imekam through kusaidia wasee kusukuma wiki, mwezi na hata mpaka mwaka!
Over and Out,
Witty Banker.