Ku-run biz is for the strong! Inataka ukuwe roho juu na ujipange na plan juu bills zitakukipchoge. Unapata hujalipa supplier, rent nayo ndio hiyo na watu wako wanategea salo kila mwezi.
Ni daily struggle lakini leo nataka tubonge juu ya long game juu ku-run biz ni marathon! Lazima ujiseti poa for the future instead of ku-focus na monthly bills pekee.
Wacha nikuchoree plan ya venye utahakikisha biz yako inagrow kila mwaka
Step 1: Kuwa na Business Savings Goals
Najua biz inakuanga very unpredictable lakini kuwa bila savings goals inamaanisha account ya biz itakuwa kichungi. Doh ikiingia, inapotelea tu.
Lazima useti doh kando ikiingia, no matter how small the amount. Na motivation ya kusave itatoka kwa goals zako.
Kaa chini upange short term, mid tern na long term goals za biz yako. Kama ni kupiga equipment upgrade, kuongeza stock ama kuexpand operations.
Alafu fungua KCB Goals Savings account, mahali utaweka hizo goals zote. Pesa ikiingia kwa account unanyoa savings kwanza. In no time biz yako itakuwa mbele kama mfuko ya shati
Step 2: Set It and Forget It: Automate Savings Zako
Vile mambo ni mengi na masaa ni machache na kusahau pia iko kwa mix, si you just automate your savings with your KCB Goals Savings account.
Kama unajua payments za clients huingia wiki fulani, seti standing order ikuwe inadeposit savings direct kwa KCB Goals Savings account
Hii automation inamaanisha you’re always one step ahead of your future business goals, na inakupea peace of mind. The less manual your savings are the more you commit to your goals savings.
Step 3: Make Your Money Work For You
Kucheza long game in business inataka ujanja.
Keep only your operations costs kwa current account. Hizo zingine weka kwa goals savings ziwe zikigrow hata saa ile umedoze. Ukisave na KCB Goals Savings account, unapata competitive interest rate na hakuna monthly charges!
Halafu juu ya hiyo story, ukidai loan ya biz kusukuma goals zako, KCB inakupea access to loan ya 100% of your savings.
Yaani hapa ndio tunasema your money works for you!
Sasa juu ya hiyo story si ufungue hiyo KCB Goals Savings account ndio uweze kuplan, kusave, na kujenga biz bila presha?
Niliwaambia KCB ni for people, for better si ati nini!
Na ukidai more information click hapa
Over and out,
Witty Banker