Beshte yako ashawai kuchapia story ukadhani anaishi Kenya ingine? Kaa chini nikushow hii story.
Wakenya wakijitayarisha kutesa mfuko October mpaka December, mabeshte zangu Johnny na Adhis wanaishi 2050.
First of all, tayari wametenga budget ya Krisi na Njaanuary juu hawataki swara za kuoverspend holiday season.
Lakini, savings plan yao haijaishia hapo, pia watoto wamewekwa kwa savings plan.
Imagine watu wa 7 na 10 years, wenye hawajaanza kulipa rent na ushuru, wako na KCB Cub savings account!
Of course, nikamuuliza watoto wanasave doh gani, shuwally?
Savings plan yao ya watoi iko hivi:
Watoto wakipewa birthday present na aunties ama babu, wanaibudget. Doh kidogo inaenda kwa toys na snacks hiyo ingine watoi wanasave kwa free cubby kit yenye waliget na KCB Cub savings account
Chores kwa nyumba ni za kila mtu na watoi wakitia bidii kwa nyumba ama shule wanapata kakitu. Inaenda kujenga savings.
Na wamebambika sana kusave juu wanaelewa doh inagrow na competitive interest rates ikiwa kwa Cub account. Wewe ushawai skia mtoto anaelewa interest rates? Wueh! Hivi ndio millionaires hulelewa!Lastly na ya kushangaza most, hao watoto wako na vision board. Ati simu na roller blades na games za PS.
So kila mwezi, watoi wakisave, Johnny na Adhis wanatop up hizo savings na standing order direct kwa Cub account yao.
Famo yao iko mbele kuliko mfuko ya shati.
Mimi bado niko shock, juu hao watoi wako set na good savings habits tayari. By the time wakuwe wakubwa watakuwa level ingine.
Kama unataka pia watoi wako wakuwe na vision 2050 pia, hebu check out the KCB Cub savings account!
Over and Out,
Witty Banker.