You might be looking for...

Commonly Searched pages

Image

Dining Experience Si Kudishi Tu

By the way, si kila siku mtucha na smocha, saa zingine shock the system kama Bena. Bena ni morio wangu fulani anapenda kuwa mafutani or as they say he loves to eat life with a big spoon. Anapenda experiences noma. Si wakurugenzi walisema pea mwili shukrani?

In that spirit, Bena aliona deal fulani ya Harvest Restaurant at Trademark. Bena, being the ‘you guy my guy’ type, akaamua kama ni kutesa, ni kutesa proper…Luku check! Yeye na kavinye wake check, ni kuchachisha sasa.

Bena kufika hapo, culture shock ikaanza kwa mlango. The waiter’s warm welcome reminded him of his single life and why he needs to find a wife to smile at him akirudi home. Hii mambo ya kusalimiwa na milango si poa - I digress.  Décor pia ilikuwa imeweza, inakaa farmhouse hivi but with style. Wines of the world zimejaza display. Mwalimu wa math hapa ni wapi?

Alafu, Bena kucheki menu akashindwa, wueeeh! Hiyo menu ilienda group of schools. Kumbe nyama kwa grill can be fancy! Fresh, organic, and local, sahani yenyewe inakaa art fulani. Instagram stories uploaded, vibe check lazima. Tulisema when we go to new places we must post.

By the time the day was over, Bena alikuwa sure atarudi siku special. Ebu imagine intimate dinner na bae, soft lighting, sipping on wine... Atakosaje kurudi? Ata wewe najua unataka hii experience.

But pia I know you are wondering msee wa mtaa kama Bena aliafford kufika Harvest aje.

Wacha nikuibie siri, everytime Bena swiped na card ya KCB broski alikua anapata 10% off, deal moja safi!!

Alafu kuna wewe, umekaa tu.  Kuwa mjanja!

Cheki, si uswipe alafu tupatane Harvest in a few days ama?

 

Over and Out,

The Witty Banker

Blogs Monday, February 26th, 2024