You might be looking for...

Commonly Searched pages

Image

Of Evictions & Mortgages

Hakuna kitu mbaya kama eviction hujapangia! Hii news inaweza kupea ugonjwa haina jina. Wee imagine umeishi place moja for long hadi imekua home ile design yenye wewe na caretaker mmekua mabuddies, mnaambianaga good morning.

Alafu kidogo kidogo, unaanza kuona future. Unaanza kufikiria vile utaambia mpoa wako amove in muanze life; alafu as soon as umemake hiyo call, Landlord anashow up suddenly, kama mvua ya Nairobi, na barua ya one month eviction notice.

That’s what happened to my homie Denno.

Denno alipewa barua out of the blues ikimshow akona one-month kuhama juu landlord anataka kuexpand na kurestructure. Mboys wangu kidogo apate blood pressure.

Wewe ushawai ambiwa uanze kujipanga kuhama na budget haiwezani? Alafu usisahau alikua ametoka kupromise mbabes wake the moon and stars. Utaanza kumwambia aje plans zimechange na hudai ile speech ya “Men can lie…”

So huyu morio akanipigia simu kuniuliza anaweza pata keja wapi na short notice. Me naye, kama msee wa mafom, nikaamua nimsaidie na plan ingine different

“Buda, badala ya kwenda kurent tena, si uamue tu ku-buy keja yenye you have been thinking about for awhile juu ushapata wife.”

“Aah ziii, we unadhani nikona mti naokota pesa ama?”

“Cheki boss, si uchukue mortgage na KCB. Wakona loan limit ya 10.5M na interest rate yao si ya kukupea headache– 9% fixed rate.”

“Alaa!! Inasound deal poa aje. Lakini nikuulize, nikichukua nafaa kuilipa after how long? Sitaki mambo yenye itanipea pressure ya kulipa haraka.”

“Tulia nikupange Denno. Hii mortgage unaeza lipa up to 25 years. Hii si kitu ya pressure mob”

And that my people, is how Denno sahii anaishi kwa keja yake na shawry wake bila pressure za landlord kukuja kumfukuza. Yaani anaown keja yake!

This could be you, chukua tu mortgage ya KCB na ununue dream home yako. Life made simple!

 

Over and Out,

Witty Banker

Blogs Thursday, March 28th, 2024